Aliyekuwa mbunge, wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, ambaye hivi karibuni aliomba hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Godbless Lema ametua nchini Canada// Mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya kushughulikia kesi za jinai ICC ameitolea mwito serikali ya Sudan kutekeleza wajibu wake kivitendo katika suala la kutafuta haki kwenye jimbo la Darfur.