1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.04.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Aprili 2019

Utawala mpya wa kijeshi nchini Sudan umesema utaanzisha majadiliano ya wazi na makundi yote ya kisiasa katika harakati za kuunda serikali ya kiraia// Serikali ya Burundi imekutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi na mashirika ya kimataifa nchini humo// Imebainika kuwa Baraza la Siri la Usalama nchini Ujerumani limeruhusu silaha zisafirishwe hadi katika nchi zinazopigana vita nchini Yemen.

https://p.dw.com/p/3GhdA