1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.08.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Agosti 2020

Amnesty International: Burundi ishughulikie haki za binadamu/ Raia wa Chad wanasema wamechoshwa na utawala wa Rais Deby huku Ufaransa ikiwageuzia mgongo/ Wakati dunia ikiadhimisha siku ya vijana leo, huko nchini Tanzania kundi hilo linatajwa kutotumia vizuri ulingo wa siasa katika kutatua changamoto zinazowakabili.

https://p.dw.com/p/3gpUl