1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.12.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Desemba 2018

Wabunge nchini Uingereza hapo jana walilaazimisha kura ya imani dhidi ya waziri mkuu Theresa May// Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na viongozi wa kimila wa kimasai Malaigwanan katika kupiga vita ukeketaji na kuhakikisha mila hiyo potofu inaondoka katika jamii hiyo

https://p.dw.com/p/3A0XU