1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Januari 2022

NASA: Mwaka 2021 ulikuwa na joto kali+++Ongezeko la joto duniani ni miongoni mwa madhara ya mabadiliko ya tabia nchi+++ripoti iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, (LHRC) imebaini kuwa idadi kubwa ya watoto na watu wenye ulemavu nchini Tanzania, walipitia udhalilishaji wa kingono+++Ukraine yalengwa katika mashambulizi ya mtandao.

https://p.dw.com/p/45Y6S