1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S14 Februari 2019

Bunge la Uingereza wiki hii linatarajiwa kufanya mjadala kuhusu mchakato wa Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya// Nigeria inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu wa rais mwishoni mwa wiki hii, tarehe 16.02.2019// DRC ni miongoni mwa nchi zilizoathirika na uhaba pamoja na kupanda kwa bei ya vyakula duniani kulingana na ripoti ya kila mwaka ya shirika la FAO.

https://p.dw.com/p/3DM7T