1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Februari 2019

Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ameyataka mataifa washirika ya Umoja wa Ulaya kuachana na makubaliano ya nyukilia ya Iran na kuonya kwamba Marekani itaongeza vikwazo zaidi dhidi ya serikali ya Iran// Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwamba watahitaji msaada wa Urusi kufuatia uamuzi wa Marekani wa kuyaondoa majeshi yake nchini Syria.

https://p.dw.com/p/3DP6X