1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Februari 2019

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesifu mkutano wa mjini Warsaw unaohudhuriwa na mataifa ya kiarabu// USA -Baraza la wawakilishi limeidhinisha jana Jumatano azimio ambalo litafikisha mwisho uungaji mkono wa Marekani kwa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita nchini Yemen// Zaidi ya raia 500 wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wamewasili Uganda wakikimbia mapigano.

https://p.dw.com/p/3DNCn