Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini aliyewasili jana usiku nchini Tanzania, leo asubuhi atakuwa na mazungumzo maalumu na mwenyeji wake, Rais John Magufuli// Tume ya Zondo inaiweka wazi mitandao ya rushwa iliyokita mizizi katika vyombo vya serikali wakati wa utawala wa Rais wa zamani Jabob Zuma kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2018.