1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.02.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S16 Februari 2020

Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani ametetea nafasi ya nchi yake katika Jumuiya ya kimataifa. Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Saudi Arabia yamewauwa watu 31 nchini Yemen. Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona imeshuka nchini China.

https://p.dw.com/p/3XqaM