Marekani itaondoa wanajeshi wao wote nchini Afghanistan ifikapo tarehe 11 Septemba/ Hujuma ya karibuni katika kinu kikuu cha Iran cha urutubishaji nishati ya nyuklia/ Ushindani mkubwa ni kati ya wanachama Armin Lachet na Markus Söder/ Ubalozi wa ujerumani nchini Tanzania wasaidia zaidi ya wasichana elfu mbili na mia tano/ Uganda yaanza safari ya kujenga maridhiano na ushirikiano