Tanzania- Polisi inadaiwa kuuzuia mkutano wa hadhara wa vijana wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA// Chama cha wanasheria Tanganyika TLS, kimemchagua Dr. Edward Hosea kuwa Rais wa chama hicho// Ziara ya Bintou Keita DRC yakumbwa na purukushani// Rais Volodymyr Zelensky amewasili nchini Ufaransa kwa mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Emmanuel Macron na pia Kansela Angela Merkel wa Ujerumani.