1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.10.2021 Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
16 Oktoba 2021

Kansela Angela Merkel aapa Ujerumani kuendeleza mahusiano na Uturuki // Serikali ya Myanmar yalaumu uingiliaji wa nje baada ya kiongozi wake kutoalikwa kwenye mkutano wa kilele wa kundi la ASEAN // Na Serikali ya Taliban nchini Afghanistan yaahidi kuimarisha usalama kwenye misikiti ya madhehebu ya Shia

https://p.dw.com/p/41m5a