1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S17 Julai 2020

Tanzania- Rais wa Tanzania John Magufuli amewataka viongozi aliowateua kwenye nafasi mbalimbali kuridhika na kile alichowapa// Uchumi wa China umekuwa kwa kadri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kunywea mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na athari za janga la virusi vya Corona// Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM limesema maelfu ya wahiamiaji nchini Yemen wanakabiliwa na mateso.

https://p.dw.com/p/3fT85