1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.10.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Oktoba 2019

Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya/ Ujumbe wa ngazi ya juu wa Marekani unakabiliwa na jukumu la kuishinikiza Uturuki kusitisha mapigano huko Syria/ Kenya- Wabunge wameyapongeza mabunge ya kaunti 31 yaliyouangusha mswada wa mageuzi ya katiba maarufu punguza mzigo/ Tanzania- Utafiti rasmi wa serikali unaonesha kuwa asilimia 26 ya watu wa Tanzania bara wanaumasikini wa mahitaji ya msingi.

https://p.dw.com/p/3RT0N