1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.04.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Aprili 2019

Wabunge kadhaa nchini Kenya sasa wanataka mali ya Naibu Rais William Ruto ifanyiwe ukaguzi kabla ya uchaguzi mkuu ujao// Uamuzi kutolewa na Mahakama ya juu kabisa nchini Uganda kuhusu suala la kikomo cha umri wa kugombea urais// Baraza la mpito la kijeshi nchini Sudan limetakiwa kutekeleza jukumu lake katika masuala ya haki za binadamu na sheria.

https://p.dw.com/p/3H2kL