1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.09.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Septemba 2019

Iran imeitumia Marekani ujumbe wa kidiplomasia wa kukana kuhusika na mashambulizi kwenye vituo vya mafuta vya nchini Saudi Arabia, huku ikionya kwamba itajibu hatua yoyote dhidi yake/ Afghanistan: Wanamgambo wa kundi la Taliban wamewaonya wafanyakazi katika sekta ya elimu dhidi ya kushiriki katika uchaguzi wa urais/ Asasi za kiraia zatakiwa kutoa zaidi elimu ya kura kwa wananchi

https://p.dw.com/p/3Popt