1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.09.2020 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S18 Septemba 2020

Kiongozi wa upinzani nchini Belarus Svetlana Tikhanovskaya amewasilisha ombi kwa UN la ujumbe wa uangalizi kutumwa nchini humo kukusanya habari kuhusu msako wa ghasia unaofanywa na polisi dhidi ya wafuasi wake// Joto la uchaguzi mkuu wa Novemba 3 nchini Marekani, linaendelea kushika kasi katika kipindi hiki

https://p.dw.com/p/3ihEJ