1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Novemba 2019

Wizara ya Usalama wa Kitaifa imetajwa kuwa fisadi zaidi nchini Kenya kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Kitaifa ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini humo/ Berlin: Mkutano wa kilele wa uwekezaji wa nchi zilizoendelea kiviwanda ulioangazia wafanya biashara wa Kijerumani wanaowekeza katika nchi za Afrika/ Kongo: Bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Tshisekedi imesomwa bungeni leo

https://p.dw.com/p/3TKmV