1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.04.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S20 Aprili 2020

Idadi ya maambukzii ya virusi vya corona imepindukia visa milioni 2 na laki 3 duniani. Raisi wa Brazil ashiriki maandamano ya kupinga vizuizi dhidi ya virusi vya corona. Watu 16 wauwawa kwenye shambulizi la bunduki nchini Canada.

https://p.dw.com/p/3b9e7