1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.07.2019 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Julai 2019

Ujerumani na Ufaransa zaitaka Iran kuiachia meli ya Uingereza iliyoikamata. Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani na Uturuki wafanya mazungumzo kwa njia ya simu. Leo ni miaka 50 tangu binadamu wa kwanza alipokanyaga Mwezini.

https://p.dw.com/p/3MQMh