Viongozi wa dunia wakijiandaa kwa mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi mjini New-York, mamilioni ya vijana wa dunia hawajenda shule au kazini wanaandamana kudai hatua za dharura dhidi ya mabadiliko ya tabianchi//Waziri mkuu Benjamin Netanyahu na mpinzani wake Benny Gantz wametoa wito wa kuundwa kwa serikali ya muungano