1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.09.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
20 Septemba 2020

Rais Trump kumteuwa mwanamke kujaza nafasi ya Jaji Ruth Bader Ginsburg katika Mahakama ya Juu nchini Marekani // Wapiganaji 30 wa Taliban wauawa katika mashambulizi ya angani Agfhanistan // Na Ethiopia yamfungulia mashitaka ya ugaidi kiongozi maarufu wa upinzani Jawar Mohammed

https://p.dw.com/p/3ijz1