1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21-04-2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Aprili 2019

Uchaguzi wa duru ya pili nchini Ukraine unafanyika leo. Mapigano mapya yamezuka nchini Libya kuwania udhibiti wa mji mkuu Tripoli. Polisi nchini Ufaransa wamekabiliana na waandamanaji wa vizibao vya manjano mjini Paris.

https://p.dw.com/p/3HALt