1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Januari 2022

Marekani imekubali kuijibu Urusi kwa maandishi na yenyewe itaibua masuala yake kwenye maandishi hayo+++Iran, Urusi na China zafanya luteka za kijeshi kaskazini mwa bahari ya Hindi+++Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwa kiongozi anayewaamini wanawake katika nyadhifa mbali mbali za uongozi nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/45vcT