1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Mei 2020

Raia wa Burundi hapo jana walipiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani// Miaka 20 baada ya wapiganaji wa chini kwa chini wa Hezboullah kuviadhibu vikosi vya mwisho vya Israel kutoka Lebanon kusini, pande zote mbili zinajiweka tayari kwa kile kinachoweza kuwa vita vingine// Kando na athari za kiafya na kiuchumi, ugonjwa wa COVID-19 umesababisha pia unyanyapaa.

https://p.dw.com/p/3caQQ