Davos: Jukwaa la Kiuchumi Duniani/ Magufuli amewahakikishia wanadiplomasia walioko Tanzania kuwa nchi hiyo itakuwa na uchaguzi wa amani, huru na haki/ Lebanon yatangaza serikali mpya lakini maandamano yaendelea/ Uganda: Wabunge kupokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa watu/ Kenya: William Ruto na washirika wake wamebadili msimamo na kujiunga na kambi inayounga mkono mpango wa maridhiano wa BBI