1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.04.2019: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
22 Aprili 2019

Sikiliza matangazo yetu ya Jioni na kwenye taarifa ya habari utasikia polisi ya kimataifa Interpol kupeleka timu ya wachunguzi, ikiwa ni pamoja na wataalamu wa kuwatambua wahanga wa majanga nchini Sri Lanka, Ikulu ya Marekani imetangaza hii leo kuyawekea vikwazo mataifa yanayoendelea kununua mafuta kutoka Iran. Utasikia pia yaliyojiri kwenye michezo.

https://p.dw.com/p/3HELP