1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Juni 2020

Marekani na Urusi zajadili mkataba kuhusu zana za nyuklia/ Serikali ya mjini Tripoli yasema Misri imetangaza vita/ Congo: Kamerhe ametangaza kuwa atabaki katika muungano na rais Tshisekedi licha ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa tuhuma za ufisadi> Mahojiano/ Umoja wa Afrika umeisimamisha Sudan Kusini kutoshiriki kwenye vikao vyake mjini Addis Ababa

https://p.dw.com/p/3eAEE