1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S22 Septemba 2021

Uchunguzi: Wakati wa utawala wa Merkel harakati za haki sawa kwa watu wa jinsia zote hazikupiga hatua kubwa/ Ufaransa- Australia: Mzozo wa kidiplomasia unaiweka rehani ajenda ya Biden ya kuimarisha mshikamano na washirika wake kuikabili China/ Lamu: Chakula cha msaada kwa familia zinazokumbwa na baa la njaa/ Je, wakenya wanajiandaa vipi kuanza upya maisha yaliyovurugwa na COVID 19?

https://p.dw.com/p/40dxA