1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.03.2019 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
23 Machi 2019

Mwanasheria maalum wa Marekani Robert Mueller amekamilisha uchunguzi wa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani // Polisi Ujerumani imewakamata watu 11 wanaotuhumiwa kupanga "shambulizi la kigaidi" // Na vongozi wa Amerika Kusini wameunda jumuiya mpya ya kikanda

https://p.dw.com/p/3FYCD