1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.08.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S23 Agosti 2017

Waangola leo hii wanapiga kura katika uchaguzi ambao utashuhudia Rais Jose Eduardo dos Santos aking'atuka madarakani// Sophia Abdi Noor ameingia kwenye daftari ya historia kwa kuwa mbunge wa kwanza wa kike kuchaguliwa tangu taifa lijanyukulie uhuru katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya// Marekani imezidi kujitenga na msimamo wake wa kumpinga Rais wa Syria Bashar al Assad.

https://p.dw.com/p/2ifua