Mkutano wa UN kupinga ubaguzi wa rangi wasusiwa na baadhi ya mataifa+++Jumapili ya Septemba 26 Ujerumani itafanya uchaguzi utakaohitimisha enzi ya Kansela Angela Merkel+++Tanzania imeagiza balozi zake kote duniani kuanza utaratibu wa kutafuta fursa za elimu ya teknolojia ya viwanda kwa ajili ya wajasiriamali wa nchini mwao+++Mamlaka nchini Sudan zinasema zilifanikiwa kutibua jaribio la kuipindua.