Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania atarajiwa kuhutubia kwa mara ya kwanza mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa++Kenya yaanza kutuma misaada kwa wafugaji ambao wanakabiliwa na njaa kufuatia ukame++Sudan yachukuwa udhibiti wa mali zilizoidia kundi la Hamas++Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula.