Congo: Wizara ya Afya imesema timu za wahudumu wa afya katika mripuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola hushambuliwa mara tatu au nne kila wiki/ Wafungwa 52 wafariki kabla ya kufikishwa mahakamani Madagascar/ China imefungua daraja refu zaidi duniani linalokatisha bahari kuunganisha bara ya china na eneo lenye utawala wa ndani la Hongkong/