1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.10.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Oktoba 2020

Wazazi na wadau wanaohusika na watoto wanaoishi na ulemavu wanaelezea kuwa wanapitia wakati mgumu kipindi hiki cha COVID-19// Maafisa wa Afya wa Marekani waligundua kuwa karibu asilimia 40 ya watu waliokufa kwa virusi vya corona walikuwa na ugonjwa wa kisukari// Uchaguzi wa rais wa Marekani unatarajiwa kuamua kwa kiwango kikubwa mustakbali wa dunia katika suala la mabadiliko ya tabia nchi.

https://p.dw.com/p/3kK1R