1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S23 Desemba 2016

Saa chache baada ya raia wa Tunisia aliyekuwa akisakwa hapa Ujerumani na Ulaya nzima kuuawa mapema leo Ijumaa mjini Milan nchini Italia, sasa kundi linalojiita Dola la Kiislamu linasema kijana huyo Anis Amri ndiye aliyetekeleza shambulio la mjini Berlin// Wapatanishi katika mazungumzo ya amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameelezea matumaini kuwa makubaliano yanaweza kuafikiwa.

https://p.dw.com/p/2UoY1