1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.12.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Desemba 2019

Kiongozi aliyekuwa na nguvu wa vikosi vya jeshi la Algeria, jenerali Ahmed Gaid Salah aliyekuwa akiiongoza nchi hiyo baada ya kulazimika kujiuzulu rais Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo leo// Mahakama moja nchini Saudi Arabia imewapa watu watano adhabu ya kifo, baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi.

https://p.dw.com/p/3VHQO