1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.07.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Julai 2019

Katika miezi ya hivi karibuni jimbo la Ituri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limekosa usalama// Wasiwasi wa ajira zaidi ya elfu moja kupotea umetanda miongoni mwa Watanzania baada ya Sheria ya Uwakala wa Meli kuanza kutumika// Shirika la Afya duniani hivi karibuni, lilitangaza janga la Ebola kuwa dharura ya kimataifa.

https://p.dw.com/p/3MeAL