1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

Daniel Gakuba
24 Novemba 2016

24.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

https://p.dw.com/p/2T997

Wataalamu washuku uchakachuaji katika mfumo wa kielektroniki uchaguzi nchini Marekani, na kutaka kura zihesabiwe upya katika baadhi ya majimbo muhimu, Bunge la Ulaya kupiga kura leo, juu ya iwapo mchakato wa Uturuki kujiunga na Umoja wa Ulaya uendelee au la, Rais wa Uturuki asema kura hiyo haiwashughulishi waturuki, na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amteuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa.