1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Novemba 2020

Nchi za Afrika kwa mara nyingine zinakabiliwa na mgogoro mwingine mkubwa wa madeni/ Mashirika mbali mbali ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya yanaitaka serikali kushughulikia kwa dharura mahitaji ya madakrati/ Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alifanya safari ya siri ya kwenda nchini Saudi Arabia Jumapili iliyopita na kukutana na Mwanamfalme Mohammed bin Salman pamoja na Mike Pompeo.

https://p.dw.com/p/3lk7x