1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Novemba 2020

Nchini Tanzania hatimaye wabunge wateule wa viti maalum wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA wameapishwa hii leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma// NATO, EU wamwalika Biden kujenga upya uhusiano na Marekani// Pande zinazozozana nchini Ethiopia zinatupiana maneno makali ambayo Umoja wa Mataifa unahofia yanaweza kuchochea zaidi ukiukaji wa haki za binadamu na wananchi kuzidi kuumia.

https://p.dw.com/p/3llgC