1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Novemba 2021

Tanzania imefanya uzinduzi wa maadhimisho ya kitaifa ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani/ Nchini Tanzania kunashuhudiwa wasiwasi mkubwa kutokana na hali ya ukame inayoendelea kujitokeza/ Kenya: Kongamano la kila mwaka la masuala ya ugatuzi/ Kenyatta afuta mkutano mkuu wa chama cha Jubilee/ Hali ya COVID-19: Ujerumani iko mbioni kurejesha vizuizi

https://p.dw.com/p/43NZA