1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.01.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Januari 2021

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kwa sasa nchini Uganda Robert Kyagulanyi amekariri kuwa harakati zake za kumng’oa rais Museveni zinaendelea// Rais wa Afrika Kusini na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Cyril Ramaphosa ameyatolea wito mataifa tajiri kutohodhi dozi za ziada za chanjo ya Covid-19// Mawaziri wa mambo ya nje wa Urusi na Iran wametoa wito wa kuokolewa kwa mkataba wa nyuklia wa Iran.

https://p.dw.com/p/3oRde