1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Mei 2020

Kila mwaka Waafrika wanaoishi nje ya bara hilo wamekuwa wakituma mabilioni ya dola za Kimarekani kwa familia zao zilizoko barani humo// Je, janga la virusi vya corona hili litawasukuma wanadamu kuwa na mahusiano mazuri na mazingira?// Kutokana na dunia kuteseka na virusi vya corona, wanasayansi wa Afrika, wahandisi na wabunifu hivi sasa wamegeukia masuluhisho yanayopatikana ndani ya nchi zao.

https://p.dw.com/p/3clMI