1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Oktoba 2020

Rais Kenyatta azindua ripoti rasmi ya maridhiano 'BBI'/ Tanzania: Uchaguzi unatarajiwa kuwa kipimo cha uvumilivu kwa mtindo wa uongozi wa Magufuli/ Congo: Mahojiano kuhusu hatua ya Tshisekedi kutaka kukutana na viongozi wa kisiasa na kijamii kwa ajili ya kuanzisha mfumo mpya wa serikali/ Waasi 78 wauawa Syria/ Belarus: Kiongozi mkuu wa upinzani ametangaza mgomo wa nchi nzima

https://p.dw.com/p/3kSmK