1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Oktoba 2017

Huku kura zikiendelea kuhesabiwa nchini kenya, kumeripotiwa idadi ndogo ya wapiga kura walioshiriki katika marudio ya uchaguzi wa urais hapo jana, hii ikiwa thuluthi moja ya wapiga kura hao ikilinganishwa na uchaguzi wa awali wa Agosti 8.// Mwaka mmoja baada ya kutangaza azma ya kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu(ICC), hatimaye Burundi imejiondoa rasmi jana.

https://p.dw.com/p/2mcbG