1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Juni 2020

Katika hotuba yake ya kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa nchi yake, Rais wa DRC Felix Tshisekedi amekataa katakata mabadiliko yoyote katika sekta ya sheria nchini mwake// CCM Zanzibar warejesha fomu, ACT wafungua pazia// Polisi nchini Kenya, wamemulikwa kwa ukiukwaji wa Haki za Binadamu kipindi hiki cha COVID-19 nchini humo// Uturuki jana kawapeleka kwa wingi wapiganaji nchini Libya.

https://p.dw.com/p/3eb3O