1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.11.2021 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
30 Novemba 2021

WHO yatoa wito wa kufikiwa mkataba wa kuzuia majanga ya kiafya kwa siku za usoni // Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yarejea na maoni mazuri licha ya kukumbwa na mashaka // Na Congo yakanusha kukubali operesheni za pamoja na jeshi la Uganda

https://p.dw.com/p/43e8p