1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.05.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Mei 2020

Waandamanaji nchini Marekani wameziharibu sanamu na minara ya kibaguzi. Umoja wa Ulaya umeionya Uingereza kwa kusuasua kwenye majadiliano ya mkataba wa biashara. Israel imeomba radhi kwa kifo cha kijana wa Palestina mwenye matatizo ya akili.

https://p.dw.com/p/3d4dn